Mwaka jana niliomba mkopo na nikapewa ila sikuweza kwenda chuo

Sherlord32

New Member
Sep 11, 2024
2
3
Wana JF,

Mwaka Jana niliomba mkopo na nikapewa ila kutokana na matatizo binafsi ckuweza kwenda chuo Sasa Mwaka huu nimeapply mkopo tena ukagoma naambiwa nilipie asilimia 25 ya mkopo niliopewa hio imekaaje wadau kwa mwenye uelewa anisaidie.
 
Kama hujawahi chukua hata Mia moja, kuna mtu Alichukua pesa zako mkuu, hasa hasa za ada,,, maana boom linahitaji finger print,,,, au Kama ulichukua hata boom moja,,, unatakiwa kulipia 25% ya ile pesa wanakuja kukupa. Mikopo wako fresh…
 
Wana JF,

Mwaka Jana niliomba mkopo na nikapewa ila kutokana na matatizo binafsi ckuweza kwenda chuo Sasa Mwaka huu nimeapply mkopo tena ukagoma naambiwa nilipie asilimia 25 ya mkopo niliopewa hio imekaaje wadau kwa mwenye uelewa anisaidie.
Kama hukuenda chuo maana yake hukutumia hata shilingi mia yao, maana yake hayo ni makosa, inabidi uende ofisi zao wakakurekebishie.

Kama hujawahi chukua hata Mia moja, kuna mtu Alichukua pesa zako mkuu, hasa hasa za ada
Ada pia inabidi usaini, kama hajasaini haina shida, ila kama alisaini bac hamna namna inabidi alipe hio 25%
 
Kuna mambo matatu hapa, 1. alivoenda kuripoti chuo alisaini ada kwahyo unatakiwa urudshe. 2. ulikua unaenda kusaini boom (kwa fingerprint) halafu unapotea mpaka boom lingne ndo unaenda tena kusaini nakupotea (tapeli), 3. yawezekana ni matatizo ya kiufundi tu huko heslb
 
Wana JF,

Mwaka Jana niliomba mkopo na nikapewa ila kutokana na matatizo binafsi ckuweza kwenda chuo Sasa Mwaka huu nimeapply mkopo tena ukagoma naambiwa nilipie asilimia 25 ya mkopo niliopewa hio imekaaje wadau kwa mwenye uelewa anisaidie.
Swali kidogo kijana , je uliwahi kutumia boom kama sehemu ya huo mkopo kwa hata senti 1?
 
Back
Top Bottom