Ze General JF-Expert Member May 10, 2014 1,508 1,253 Jun 11, 2016 #5 Mda ni jibu, tutaona mengi sana msimu huu had kufikia 2020 hao waliokuwa wanaimba hizo nyimbo watakuwa wamekuwA wapinzan
Mda ni jibu, tutaona mengi sana msimu huu had kufikia 2020 hao waliokuwa wanaimba hizo nyimbo watakuwa wamekuwA wapinzan
Chapa Nalo Jr JF-Expert Member Dec 8, 2010 7,518 6,506 Jun 11, 2016 #7 Bado kidogo watumishi wa ccm watagoma, mambo sio pande zile siku hizi.
swissme JF-Expert Member Aug 15, 2013 13,663 19,894 Jun 11, 2016 #8 tetetetete number walizani zambia kumbe Tz.ccm na lumumba hakukaliki. swissme
hazole1 JF-Expert Member Jan 3, 2015 4,319 3,916 Jun 11, 2016 #9 Mm hao huwa nawashangaa sana wanajifanya wanaijua sana ccm kila siku huwa nawakuta midomo imekauka wananiomba hela ya kula. Mm huwa nawaambiga tukomae tu wazee. Maisha haya ndio tulio chagua wenyewe.
Mm hao huwa nawashangaa sana wanajifanya wanaijua sana ccm kila siku huwa nawakuta midomo imekauka wananiomba hela ya kula. Mm huwa nawaambiga tukomae tu wazee. Maisha haya ndio tulio chagua wenyewe.