Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,186
Polisi wana kazi ngumu ya kulinda raia na mali zao, kubaini na kuzuia uhalifu, kukamata na kuwalinda wahalifu hadi wanapofikishwa mahakamani pia kulinda amani ya nchi.
Hata hivyo takwimu za makosa ya uhalifu januari hadi disemba 2020 zinazotolewa na NBS zinaonesha mwaka 2020 polisi 13 waliuawa nchini huku wengine 86 wakiwa wamejjuruhiwa katika kutekeleza majukumu yao.
Mkoa wa Njombe uliongoza kwa kuua askari 4, ikifuatiwa na Morogoro iliyoua askari 3. Kwa majeruhi Songwe na Lindi wameongoza ambapo askari 10 walijeruhiwa na kila mkoa.