LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 16,420
- 30,793
Wachawi kabla ya " kupeleka majeshi" ( kupiga Bomu la kichawi ) huwaga wanaanza kwanza kutumia silaha ya maneno kwa sababu kutumia silaha za kichawi ni gharama.
(kwanini watume risasi" uchawi" ambazo ni expensive wakati wanaweza kutumia mawe" maneno" ambayo wanayatumia bure kabisa)
Kwa mfano mama wa kambo mchawi ambae anataka kumroga au kumlaani mtoto wa kiume wa mume wake ili and aharibikiwe kwenye maisha, ataanza kuwa ana muita mwizi mara kwa mara.
Atazuga sh mia2 imepotea kisha atamlaumu mtoto huyo na kumuita mwizi. Kama hiyo haitoshi ataanza kuwa anamchapa mbele za watu huku akimuita mwizi..
Atafanya hivyo mara kwa mara kiasi sio tu majirani bali hata yeye mtoto mwenyewe ataanza kuamini ndani ya nafsi kwamba yeye ni mwizi kweli na ataanza kuiba na mwisho wa siku utamkuta Manzese anapiga debe na Kula unga.
Kilicho fanya kazi hapo ni uchawi wa maneno wa mama ake wa kambo, kusema na subconsiouss ya huyo mtoto tangu akiwa mtoto kwamba yeye ni mwizi. (subconscious mind za majirani zinahusika pia hapa. Kitendo cha wao kuamini mtoto huyo ni mwizi na repeat uongo wa mama ake hutengeneza negative energy against the innocent kid. Jambo hili hutokea bila wahusika kujua).
Kwenye maradhi ya uwazimu, wachawi huanza kwa kuanzisha rumours kuhusu mtu walie mkusudia. Mtu atakwambia " Nasikia juma kawa mwehu siku hizi." Wewe utaamini utaenda kuwaambia watu wengine na mwisho taarifa zitasambaa Mtaa mzima. Hapo wachawi wanakuwa wanatumia ile " energy " ya ndani ya nafsi zenu dhidi ya huyo Juma bila nyinyi kujua. Mnakuwa mnatumika kama vessels za ku transfer negative energy ya hao watu wachawi dhidi ya Juma.
Juma kwa sababu anajijua yeye sio chizi akisikia hizo rumours ataanza kukanusha " Jamani Mimi sio chizi" na kadri atakavyo kuwa anakanusha ndio mtakavyo zidi kumuona chizi kweli kwa sababu mtaambizana ya kwamba mtu ambae sio chizi hana haja ya kukanusha kwa watu kwamba yeye sio chizi. Juma atapata stress za hali ya juu sana kwa kuona yani hata watu anao waamini na wao wanaamini yeye ni chizi. Mwisho wa siku Juma atakuwa chizi kweli.
Iiwahi kumtokea mwanadada Nuru Nassor wa Kaole almaarufu Nora. Alikuwa anatembea na mume wa mtu. Mwenye mume akashauriwa na wachawi atumie njia hiyo. Basi akaenda akawanunua ndugu wachache wa Nora walio kuwa wana mchukia, wakaanza kuwa wanaenda " kazini" kwa Nora kumchukua " ndugu yao" asije leta fujo kwa sababu yeye chizi.
Ilikuwa Nora akienda location basi wataenda na gari kabisa kikundi cha watu zaidi ya kumi " Nyie tumekuja kumchukua huyu ni chizi ataleta Fujo halafu mje mtusumbue ndugu hatuna hela ya kulipa uharibifu "
Akiona hivyo Nora aligoma kuondoka na watu hao kwa kusisitiza kwamba yeye sio chizi . Na wao walipambana na kumfunga kamba kwenye Mikono na miguu huku akipiga kelele kwamba yeye sio chizi. Na Ndipo alipoonekana chizi kweli. Mwisho wa siku Nora alikuwa kama chizi kweli isingekuwa baadhi ya ndugu na jamaa kuingilia kati basi angekuwa chizi mazima.
KUZUSHIWA KIFO
Habari ya kuzushiwa kifo: Unapozushiwa kifo tafsiri yake ni
1. Kuna watu wanafanya " maombi ya kichawi" kwenye madhabahu zao ili wewe ufe. They wish you to die kwa sababu ambazo wanazijua wao.
Kuna kisa kimoja jamaa mmoja mtaani kwetu kwao walizaliwa wanaume wawili. Mama yao alisemekana kuwa ninja.
Nyumbani kwao walikuwa wanakaa na dada yao mdogo mtoro wa mama yao mdogo.
Huyo mtoto wa mama yao mdogo ilisemekana mtaani kwamba alikuwa Chama kimoja na mama yao hao jamaa wawili . Wote walikuwa maninja.
Kaka ake na huyo jamaa alikufa kifo cha kutatanisha mwaka 2010 mwezi oktoba.
Mwaka 2011 January jamaa gari yake ilipata ajali mbaya. Bahati nzuri ni kwamba jamaa hakuwemo kwenye gari alikuwa amempa mtu gari lake ambae hata hivyo na yeye hakuumia sana.
Siku hiyo nakutana na huyo dada yao na jamaa analia anasema " Fulani nasikia amekufa"
Ni kama vile she anticipated it. She saw it coming she was expecting it.
But luckily jamaa hakufa. Mwezi mmoja baadae jamaa akafa kweli kwenye ajali. Kwa hiyo ni kitu ambacho walikuwa wamekipanga before. Waliposikia amepata ajali wakajua tayari kafara limejibu.
2. WANATAKA KUSHIRIKISHA ENERGY ZA WATU WENGINE KU VIBRATE IN THE SAME FREQUENCY WITH WHAT THEY WISH.
(Hapa kaka mkubwa Pascal Mayalla anaweza kuelezea vizuri zaidi)
Wachawi wakitaka kufanya jambo lao huwa wanafanya kama vile anavyo shauri Bob Proctor kwenye kitabu/ documentary yake maarufu " the secret ". Kwenye kitabu hicho Bob Proctor anafundisha kuhusu the law of attraction.
Moja kati ya vitu anavyo fundisha ni kwamba, ukitaka jambo fulani then start to behave and feel as if you already have it.. Mfano wewe kwenu ni Bunda vijijini, hujawahi kufika Dar tangu uzaliwe, unataka uonekane wewe mtoto wa Dar, then anza kubehave as if wewe ni mtoto wa mjini Daslamu. Anza "kuvunja nazi " (kuongea kiswahili cha pwani) Anzisha Uzi If jifanye mtoto wa Dar mara kwa mara mwisho wa siku u will become like one.
U want to be the boss then start to behave like the boss. Fake it untill you make it.
Kule Ruangwa kuna mganga wa kuua, jina lako likipelekwa kwake leo basi kesho unazikwa.
Mara nyingi ndugu ndo huenda kuwaroga ndugu zao wafe. Ndugu hao mara nyingine huwa wanaagizwa wapeleke nguo za marehemu mtarajiwa . Kabla ya victim kurushiwa jini la kumkata huwa inafanyika sherehe maalumu ya kichawi ya kugawana nguo za " marehemu" mtarajiwa kana kwamba tayari ameshafariki. Katika sherehe hiyo ya kichawi victim hubadilishwa jina na kuanza kuitwa marehemu hata kabla hajarushiwa jini wa kumuondoa..
Maana yake ni kwamba wanaanza ku vibrate kwenye frequency ya wewe kutokuwepo duniani kabla hata haujaondoka duniani. They start to behave as if u have already died.
Sasa adui zako wanapo kuzushia kifo lengo lao linakuwa ni kutaka kupata nguvu ya ziada ya kuunganisha na nguvu zao za kichawi.
Energy inakuwa harvested from the general public . Kitendo cha nyinyi kuamini kwamba fulani amefariki na wengine mnamwaga hadi " mchuzi " tayari mnakuwa mmetengeneza " the real black aura"( death aura energy) towards mtu wenu . This genuine death aura energy can be picked up by these evil people on the realm of the spirits for their benefits against ur beloved one. .
Ndio maana watu wengi wanao zushiwaga kufa huwaga wanakufa baada ya muda si mrefu sana.
Mifano mnayo nyie wenyewe.
Kwa hiyo Mwaitege awe makini sana . Ajilinde kiroho by any means necessary. Asikae kitoto. Hilo tukio alichukulie kama Mungu anaongea nae anamwambia " kuna mtu anapanga njama wewe ufe"
Si mnakumbuka alivyo uwawa Rapper A.K.A?
Taarifa ya kwanza ya polisi kwa vyombo vya habari ilivyo kuwa?
Walisema it was a drive by shooting na kwamba alipigwa Risasi tano wakati anaingia kwenye gari lake.
Baadae ikaja kujulikana ni taarifa ya uongo. Unajua kwanini ilikuwa hivyo?
Kwa sababu hivyo ndivyo wale " inkabi" ( assassins) walivyo kuwa wamekubaliana na Moses Tembe's Henchmen na Beka Cele's crooked cops kuhusu namna ya kumuua A.K.A.
Plan hiyo ilishindakana baada ya A.K.A kuchelewa kuingia kwenye gari, muuaji akafanya situational analysis na kuona kuna upenyo na hatimae akautumia .
Polisi waliopangwa walivyo taarifiwa kwamba kazi imekamilika, wakaripoti kwa vyombo vya habari taarifa ambayo walikuwa tayari wamei cook before ambayo iliendana na plan yao.
Kwa hiyo hata wewe Mwaitege, inawezekana kabisa adui zako ndivyo walivyo plan wewe ufe kwa staili hiyo and probably waliamini ulikuwa kwenye gari hiyo. So walipo sikia gari imepata ajali, wakatangaza kwenye media kwamba tayari umeshakufa kwa ajali kwa sababu hivyo ndivyo walivyo kuwa wamepanga..