johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 93,952
- 164,194
Rais wa TLS, Boniface Mwabukusi amesema Mbeya siyo Washamba ila kwa asili hawaruhusiwi kuvumilia Ujinga
Mwabukusi ameandika katika ukurasani X:
MBEYA siyo washamba ila kwa asili haturuhusiwi kuvumilia ujinga.Lazima tupate majawabu ni wapi waliko SOKA na wenzake? Tukinyamaza kimya ni usaliti na laana.Mwambie mwenzako Wiki lianzalo ni wiki la kelele.Lazima Soka na Wenzake warudishwe wakiwa hai.
Najiuliza: Ni hii Mbeya ya Wasafwa au? 🐼