nyumbatatu JF-Expert Member Jul 19, 2013 1,076 939 Mar 13, 2017 #1 *YAANI HII MVUA YA LEO NA BARIDI NI RAHA SANA MKIWA WAWILI MMOJA ANAPIKA CHAI MWINGINE UNAMTUMA VITUMBUA* _*wewe waza ujinga tu*_
*YAANI HII MVUA YA LEO NA BARIDI NI RAHA SANA MKIWA WAWILI MMOJA ANAPIKA CHAI MWINGINE UNAMTUMA VITUMBUA* _*wewe waza ujinga tu*_
C cheu yang Senior Member Mar 4, 2017 115 83 Mar 13, 2017 #3 mmmhhh mleta uzi buana acha kutuletea misisimko na cocacola
D Dundo_Boy JF-Expert Member Dec 29, 2015 2,458 2,465 Mar 13, 2017 #5 Umetorokaje?....leta vyeti kwanza....
nyumbatatu JF-Expert Member Jul 19, 2013 1,076 939 Mar 13, 2017 Thread starter #6 Dundo_Boy said: Umetorokaje?....leta vyeti kwanza.... Click to expand... Vyeti vya chai au vitumbua?
Smart911 Platinum Member Jan 3, 2014 128,660 154,804 Mar 13, 2017 #7 Kwa nini mtumani na vua yote... Akiumwa pneumonia je?
Joanah JF-Expert Member Aug 14, 2016 21,384 75,739 Mar 13, 2017 #10 Daudi akileta vyeti hatupati tena mvua Bora aendelee kubaki navyo angalau iendelee hivi hivi
nyumbatatu JF-Expert Member Jul 19, 2013 1,076 939 Mar 13, 2017 Thread starter #11 Smart911 said: Kwa nini mtumani na vua yote... Akiumwa pneumonia je? Click to expand... Duh!.
N Nena JF-Expert Member Dec 27, 2015 2,297 892 Mar 13, 2017 #12 nyumbatatu said: Vyeti vya chai au vitumbua? Click to expand... Hata kama ni mayai