Mvua kubwa inayoendelea kunyesha Dar leo Aprili 23, tupia picha eneo lililoathirika

Mwizukulu wa Buganda

Senior Member
Nov 19, 2024
150
413
Wakuu mvua ya leo kiboko, imeanza kunyesha kuanzisha jana usiku, tupo nayo mpaka sasa. Kama kawaida mvua kama hii ya mfululizo lazima iache madhara sehemu mbalimbali kama miundombinu kuharibika, foleni kuongezeka, watu kuchelewa kazini nk nk.

Vipi eneo ulililopo mvua haijaacha madhara? Tupia picha mamlaka zione

Huku Bonyokwa na milima yetu ni kuteleza tu
 
Back
Top Bottom