Mrudie Muumba wakoNimetubu sala zote asikwambie mtu, upepo ni mkali sana pamoja na radi.
Poleni sanaaa hope hakuna madhara ...hasa vifo na uharibifu wa mali na miundombinuNimetubu sala zote asikwambie mtu, upepo ni mkali sana pamoja na radi.
Achana naye nyumbu huyu! Anadhani Mungu ni wa kudhihakiwaPole sana ila kuna funzo la kiimani hapa
MUNGU ANAPENDA TOBA ILIYOFANYWA KWA WAKATI....namaanisha....
HIZO TOBA ZA KUSHTUKIZA INAMAANA UMEFANYA TU KWA KUWA UMEONA HAMNA NAMNA
Tuwe tunafanya toba mara nyingi iwezekananvyo na kuacha matendo mabaya HASA YALE YANAYOUMIZA WATU WENGINE!
Kumbuka: Ukimkosea Mungu mfano kwa kuacha kusali anaweza kukusamehe kwa haraka ILA ukikosea mtu mfano, kumuibia, kumroga, kumnyima haki nk nk msamaha unatakiwa utoke kwa mtu uliyemkosea kwanza NDIO MUNGU AKUSAMEHE... na hapa ndio watu wengi wata angamia kwa kukosa maarifa!
Aiseee ikidondoka na huku Dar salama tumekwishaNimetubu sala zote asikwambie mtu, upepo ni mkali sana pamoja na radi.
Kuna wabobevu wanasema kuna mistari inasema, "nijaribuni hasa nyakati za taabu...", kitu kama hicho, nilisikia tu kwa wabobevu wakinijuza.Achana naye nyumbu huyu! Anadhani Mungu ni wa kudhihakiwa
Hautubu mpaka uone mvua kali radi na upepo?Nimetubu sala zote asikwambie mtu, upepo ni mkali sana pamoja na radi.
Mi naona ni kwaida kwa wanadamu wengi wanapopata shuda kumrudia MunguKuna wabobevu wanasema kuna mistari inasema, "nijaribuni hasa nyakati za taabu...", kitu kama hicho, nilisikia tu kwa wabobevu wakinijuza.
Waongo haoGoogle wanasema " Tegemea mvua Dar es Salaam kuanzia saa 4:00 asubuhi ya leo tarehe 30.01.2024"
bora dhehebu lako linakuruhusu kutubu ukiwa mwenyewe, mimi mpaka nimtafute Paroko aniondelee dhambi sijui mtawahi pale kigangoniMrudie Muumba wako
Uliyemroga unamuombaje msamaha? Uliyemuibia unaenda kumwambiwje? Unachanganyikiwa!?Pole sana ila kuna funzo la kiimani hapa
MUNGU ANAPENDA TOBA ILIYOFANYWA KWA WAKATI....namaanisha....
HIZO TOBA ZA KUSHTUKIZA INAMAANA UMEFANYA TU KWA KUWA UMEONA HAMNA NAMNA.
Tuwe tunafanya toba mara nyingi iwezekananvyo na kuacha matendo mabaya HASA YALE YANAYOUMIZA WATU WENGINE!
Kumbuka: Ukimkosea Mungu mfano kwa kuacha kusali anaweza kukusamehe kwa haraka ILA ukikosea mtu mfano, kumuibia, kumroga, kumnyima haki, Kunyanyasa nk nk msamaha unatakiwa utoke kwa mtu uliyemkosea kwanza NDIO MUNGU AKUSAMEHE... huwezi kukosea mtu halafu uende kutubu kanisani/msikitini na uliye mkosea yupo??? na hapa ndipo watu wengi wata angamia kwa kukosa maarifa!
Hali ya hewa umeiona muda huu ?Waongo hao
Dini haieleweki, wanafunzi wanapata f somo la diniKuna wabobevu wanasema kuna mistari inasema, "nijaribuni hasa nyakati za taabu...", kitu kama hicho, nilisikia tu kwa wabobevu wakinijuza.