Gan star JF-Expert Member Jul 7, 2016 379 982 May 12, 2017 #1 Nyie hizi mvua jamani Isije ikawa watu wengine wametangulia kwenye safina sisi hatujui tu
Mchizi JF-Expert Member Apr 23, 2009 2,828 6,836 May 12, 2017 #2 Gan star said: Nyie hizi mvua jamani Isije ikawa watu wengine wametangulia kwenye safina sisi hatujui tu Click to expand... Kwani wewe tangazo hukulisikia kwamba watu wa pwani muingie kwenye safina mapema,mikoa yenu itakumbwa na gharika
Gan star said: Nyie hizi mvua jamani Isije ikawa watu wengine wametangulia kwenye safina sisi hatujui tu Click to expand... Kwani wewe tangazo hukulisikia kwamba watu wa pwani muingie kwenye safina mapema,mikoa yenu itakumbwa na gharika
Royal Warrior JF-Expert Member Nov 19, 2015 1,166 2,143 May 12, 2017 #3 upo mkoa gani mkuu? maana huku dar leo haijanyesha mvua
ISIS JF-Expert Member Apr 20, 2016 96,073 858,547 May 12, 2017 #4 Tumeingia kwenye safina na tumebaki duniani! Everything is well and done forever!
Kingfisher JF-Expert Member May 22, 2015 4,702 7,619 May 12, 2017 #5 Hii mvua toka imejua dar sio makao makuu bali ni mkoani inanyeshaaa balaa maana inajua ni muda wa palizi ya kwanza.
Hii mvua toka imejua dar sio makao makuu bali ni mkoani inanyeshaaa balaa maana inajua ni muda wa palizi ya kwanza.
Gan star JF-Expert Member Jul 7, 2016 379 982 May 13, 2017 Thread starter #7 Biashara Mtaji said: Click to expand... Duh hatarii
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 52,554 70,748 May 13, 2017 #8 Teh teh teh..imejiunga Haikatiki bundle
darcity JF-Expert Member Jul 20, 2009 9,042 17,952 May 13, 2017 #9 Biashara Mtaji said: Click to expand...
ISIS JF-Expert Member Apr 20, 2016 96,073 858,547 May 13, 2017 #10 Joseverest said: Teh teh teh..imejiunga Haikatiki bundle Click to expand... Kwa kweli! Hahahaha