Muungano umesaidia sana Makabila Madogo kama Wanyaturu, Wasafwa, Wakala na Wakinga yaliyodharaulika kupata Heshima!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
94,135
164,559
Hili ni jambo la msingi sana ambalo wadau wa Serikali ya Tanganyika wanapaswa kulijua

Hadi 1980s kuna makabila hata kujitambulisha kwalo ilikuwa ni kama kujidharau hivi lakini kuimarika kwa muungano kumeleta umoja zaidi

Tusisahau kuwa kwenye Muungano tuna Wachagga na Wahaya na Nje ya Muungano utawakuta Wanyambo, Warombo, Wamachame, Wasafwa, Wanyiha, Wakala, Wanyaturu, Wanyiramba nk....nk

Tundu Antipas Lisu anapoitafuta Tanganyika aenende kwa umakini sana 😄😄🔥
 
Asante sana mtoa mada MUUNGANO hakuna kuvunjwa watu tukale Bata visiwa vya karafuu
 
Hili ni jambo la msingi sana ambalo wadau wa Serikali ya Tanganyika wanapaswa kulijua

Hadi 1980s kuna makabila hata kujitambulisha kwalo ilikuwa ni kama kujidharau hivi lakini kuimarika kwa muungano kumeleta umoja zaidi

Tusisahau kuwa kwenye Muungano tuna Wachagga na Wahaya na Nje ya Muungano utawakuta Wanyambo, Warombo, Wamachame, Wasafwa, Wanyiha, Wakala, Wanyaturu, Wanyiramba nk....nk

Tundu Antipas Lisu anapoitafuta Tanganyika aenende kwa umakini sana
Achana na kauli za kale. Ya JKN yamepita kwa wakati wake. Tanganyika ni nchi moja na si kabila. Tunataka Tanganyika yetu. Wewe kama huitaki kwa kisingizio cha makabila, hiyo ni yako.
 
Back
Top Bottom