Muunganiko upi wa Dawa mzuri kwa Kutibu Shinikizo la Damu(Hypertensio)??

bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
3,323
4,678
Hallo wanajukwaa!kama tunavyojua Shinikizo la Damu(Hypertension) Haiwezi kutibika kabisa Zaidi ya kufuata Kanuni za Afya kama vile Ulaji mzuri,Kupunguza Chumvi&Mawazo,Kufanya Mazoezi na Pia Matumizi ya Dawa za kushusha Pressure.

Tukiwa na Magrupu mbalimbali ya dawa za kushusha pressure kama vile..
DIURETIC Eg Lasix,aprinox,hydrochlorothiazide.
ACE,Ex Captopril,linisopril.
BETA BLOCKERS,Eg Propanolol,Atenolol.
CALCIUM CHANNEL BLOCKERs, Eg Nifedipine,Amlodipine.
CENTRAL ACTING, Eg Aldomet(Methlydopa)
ACEI,Eg Losartan...nk

Je Muunganiko Upi wa Dawa ndio mzuri/Sahihi kwa kutibu Shinikizo la Damu?Hasa kwa wale wagojwa wanaotumia dawa zaidi ya moja.

Karibuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…