TANZIA Mustafa Mkulo afariki dunia, Alikuwa Waziri wa Fedha kwenye Awamu ya Nne

Mtani wa Taifa

JF-Expert Member
Aug 2, 2023
953
3,305
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Kilosa na Waziri wa Fedha awamu ya nne Mustafa Haidi Mkulo amefariki dunia 03 Mei 204 usiku wa kuamka leo hospiali ya Muhimbili.

Atazikwa kwao kijiji cha Kimamba Wilayani Kilosa mkoa wa Morogoro siku ya Jumapili majira ya saa 7 mchana.

Mungu amlaze mahali pema peponi.


====For English Audience Only====
Former Minister of Finance and Member of Parliament for Kilosa in Morogoro region, Mustafa Haidi Mkulo has passed away while receiving treatment at Muhimbili National Hospital.

Mkulo served as a Minister in the Fourth Government but was removed from his position after President Jakaya Kikwete made changes to the Cabinet.

Pia Soma: The case against MUSTAFA MKULO

1714802389459.png

Taarifa ya Maziko ya Mhe Mustafa H. Mkulo kuzikwa saa 7:30 Mchana katika Makaburi ya Kimamba, Wilayani Kilosa Jumapili 5 Mei 2024. Msiba uko nyumbani kwake Bomani Kilosa na Sala ya Maiti Kufanyika Msikiti wa Uhindini.
IMG-20240505-WA0001.jpg
 
Back
Top Bottom