LGE2024 Mussa Zungu anapita mtaa kwa mtaa kuombea kura CCM. Haoni aibu jinsi mitaa na hali za wananchi zilivyokuwa mbaya?

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Mindyou

JF-Expert Member
Sep 2, 2024
864
2,365
Wanabodi,

Kama mnavyojua kuwa sasa hivi kampeni za serikali zinaendelea na jana Mbunge wa Ilala Mussa Zungu

Ukiangalia mitaa ambayo alikuwa anapita ni mitaa ambayo barabara ni mbovu, hakuna mpangilio na hata mitaa haiko katika hali ya usafi.

Anakutana na wananchi wanauza mihogo katika hali isiyo salama kiafya na yupo confident tu hana hata wasiwasi.

CCM wako comfortable sana na kutokuleta maendeleo. Inasikitisha!

 
Back
Top Bottom