chazachaza
JF-Expert Member
- Feb 21, 2018
- 2,829
- 3,834
Huyu mtu ,enzi zile nilikuwa sikosi kupitapita kwenye akaunti yake twitani au channel kumi na Tanzanite TV, kiukweli hata kama niwe nimeboleka au wife kanichanganya, basi nikipita kwa bwana musiba, sikosi kukuta kitu cha kunifanya nipoteza mawazo.
Mala ya mwisho ,kuonekana kwenye media ,alisikika akiomba ndg zake tumuombee kwani anapita kwenye mapito makubwa!!
Mwenye taarifa zake,amejichimbia wapi huyu ndugu yetu!?
Mala ya mwisho ,kuonekana kwenye media ,alisikika akiomba ndg zake tumuombee kwani anapita kwenye mapito makubwa!!
Mwenye taarifa zake,amejichimbia wapi huyu ndugu yetu!?