Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 463
- 1,132
Kafufukia wapi Comrade ???!Mwanaharakati Cyprian Musiba katika mazungumzo yake amesema kama CHADEMA wanavunja Sheria zao wenyewe ,watashindwa vipi kuvunja KATIBA ?
Mbona kama anaharisha kupitia kinywani?Mwanaharakati Cyprian Musiba katika mazungumzo yake amesema kama CHADEMA wanavunja Sheria zao wenyewe ,watashindwa vipi kuvunja KATIBA ?
Unamanagani?.Mama anazidi kupotea.
😂😂😂Nape akome kabisa kupambana na Musiba. Kiko wapi sasa??
Kweli Mange Kimambi akoseiMwanaharakati Cyprian Musiba katika mazungumzo yake amesema kama CHADEMA wanavunja Sheria zao wenyewe ,watashindwa vipi kuvunja KATIBA ?
Amewalipa wafanyakazi wake Kwanza? Vipi Marehemu Membe ilikuaje?Mwanaharakati Cyprian Musiba katika mazungumzo yake amesema kama CHADEMA wanavunja Sheria zao wenyewe ,watashindwa vipi kuvunja KATIBA ?
Fact checks zangu zote zinaonesha hii clip ya Musiba ni ya enzi za jiwe. Musiba wa sasa amedhoofu sana.Kafufuka?.
Born town watamparura mama endapo atamrudisha Musiba mjini.Msibaaa! Aise huyu jamaa kama mama amempa ajira ya kumsemea atawapiga hao wakina born town