wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,123
- 27,369
Kwenye kipindi cha tatu mzuka kinachorushwa live usiku huu capital TV, ITV na Clouds TV namuona anaiga swaga za Sam Mahela kuongea na hadi ile staili ya kukwepesha mikono hadi usimamaji studio naomba kumwambia aache atafute swaga yake ya kiutangazaji