Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,471
- 12,374
kawa mkweli kasaidiwa, sasa alikuwa anaficha nini?Chidi Benzino katika ubora wake mchizi ana recover kwa uzuri kabisa,eeh Maulana mjalie mja wako ujio mpya...View attachment 356562
Kawa poa kabisa asije rudia tu, naona yupo Gym ya nyumbani kwa DIAMOND ni kweli nini wameshamsajili (WCB) ???? Sidhani kama kasajiliwa kweli...but time will tell...
Umenifurahisha sana, basi sawa nisamehe bure nilisahau kuwa wewe ni msemaji wa Chidi Benzi.hapana mimi sio msemaji wa WCB
Kawa poa kabisa asije rudia tu, naona yupo Gym ya nyumbani kwa DIAMOND ni kweli nini wameshamsajili (WCB) ?????
HahahahaUmenifurahisha sana, basi sawa nisamehe bure nilisahau kuwa wewe ni msemaji wa Chidi Benzi.
Sio hiyo gym tu, mazingira yote ya home kwake nayajua. ( kuna kazi nilishawahi kuifanya hapo)Duhhh, ndugu yangu yani kuangalia tu hivo vifaa vya mazoezi umejua kuwa hiyo gym ya Diamond??
Huwezi jua, pengine ni hausigeli wa paleDuhhh, ndugu yangu yani kuangalia tu hivo vifaa vya mazoezi umejua kuwa hiyo gym ya Diamond??
Cut Them Some Slack Sio Rahis Kuquit Kama Unavyodhan Kweli Kutotumia Ni Ushujaa Ila Kuweza Kuacha Ni Ushujaa ZaidAlafu hii tabia ya kuwataja wanaoacha kubwia sembe kama Mashujaa, mi huwa siielewi kabisa...nadhani kutotumia kabisa ndio ushujaa.
Watu Wako Vizur,Mie Mwenyewe Ndio Nilikuwa Nawaza AmepajuajeDuhhh, ndugu yangu yani kuangalia tu hivo vifaa vya mazoezi umejua kuwa hiyo gym ya Diamond??