Mungu ni mwema nimemaliza miezi mi Nne bila kufanya mapenzi, kuvuta sigara, kunywa pombe.

Leonce jr

JF-Expert Member
Oct 5, 2023
1,949
2,938
Salamaleko
Tumsifu yesu kristo.

Mnamo miezi kadhaa iliyopita tarehe kama ya leo nilinuia kuacha kabisa Uvutaji sigara na ulevi wa pombe. Na kupunguza au kupumzika kufanya ngono.

Na sasa nipo naendelea vizuri sana najisikia amani nina confidence ya hali ya juu naishi maisha yangu kawaida bila kuwaza hela ya kwenda kulukia viwanja.

Nashukuru Mungu niendeleee hivi hivi niache pombe na sigara na ngono mpaka kuoa.
 
Hongera sana Mwenyezi Mungu akulinde
 
Nadhani mtoa nyuzi kaamua kuacha ngono zembe maana akilewa ni rahisi kuokota kuacha ngono zembe kunasaidia kuweza kupata mwenza wa kufanya ngono salama..ukizoea sana kuokota bar kutongoza mtaani inakua ngumu upo sahihi mazee pumzika ukiwa sawa utampata alietulia utaendelea kunyoosha miguu kama kawaida maana kusimamisha muda wowote na mtu yeyote ni hatari sana na kuweza kupata magonjwa kirahisi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…