Kiburi ndio anguko hasa la mwanadamu
Katika historia.
Waswahili husema "mateso yakizidi neema imekaribia". Kwa hali iliyopo sasa kwa watanzania ni ngumu na mbaya.
Maombi yangu hali hii na mwenendo wa mambo uwafikie wale watanzania mamilioni mengi wanaoishi vijijini na wanaosadikiwa ndio mtaji wao mkubwa.
Ambao wamekingwa jua na kivuli cha fimbo
Kiburi cha farao ndicho chanzo cha ukombozi wa waisrael.
Kiburi hichohicho ndicho kilisambaratisha ujenzi wa mnara wa baberi.
Naiona Tanzania ikiinuliwa na kukombolewa kutoka mikono ya wwaitwao wakoloni weusi.
Sababu hasa nikiwa ni kiburi cha watendaji waliopo ambao wao wanaendekeza chuki na ubaguzi. Mwl. Nyerere alitahadharisha kuhusu dhambi ya ubaguzi ambayo haiishi daima.
#mwanasiasa_mwanasihaso