karv
JF-Expert Member
- Dec 26, 2019
- 1,802
- 3,244
Habari ya wakati huu wapenndwa natumaini mko poa sana na mnaendele vyema na majukumu yenu ya kila siku.
Nimekuwa mraibu wa madada wanaojiuza kwa takribani miaka 7 ila namshukuru Mungu kwa sasa nimeacha kabisa hayo mambo na sitamani hata kukutana nao tena.
Tabia ya kupendana kununua madada wanaojiuza niliianza kama utani tu nakumbuka nilitoka huko Kagera ni kafika Msamvu kama saa 5 usiku hivi gari ikaingia pale itigi nilichokiona dahh.
Niliona mdada kainamishwa kwenye lori na jamaa wapo wanafanya mapenzi dahh nikasema chimbo si ndio hilo maana kwa wakati huo nilikuwa mbali na mpenzi wangu.
Nikafika nyumbani kesho yake jioni nikamchukua rafiki yangu mwenyeji tukaanza kwenda kutembea maeneo sasa akaanza kunitembeza kaumba na itigi moyoni nikasema nitakuja tu jamaa akanipitisha chocho zote.
Baada kama ya siku mbili kupelekwa huko na kaenda mwenyewe nikaenda pale ambapo kwa sasa imejengwa MORENA hoteli nikakuta wadada wanajiuza huku wengine wanaendeleza shoo hapo hapo.
Nikapata kabinti kadogo dogo licha ya kwamba nilikuwa na uoga ila nikajitoa akili maana nilikuwa nishapewa A B C na jamaa aliyenileta mara ya kwanza basi nikamlipa nakumbuka ilikuwa elfu 3 sikwemda mbali hapo hapo nikamaliza swala langu nikaondoka.
Nikanogewa ikawa ndio tabia yangu kila baada ya siku 2 au 3 lazima niende na nilivyo zoea nikawa natafuta wa shepu mbali mbali wanene, wembamba, warefu, wafupi, kila aina yani nilifanya nao.
Hiyo ya kutoka na maumbile mbali mbali ilisababishwa na story za vijana kijiweni wengine wanasema wanane ndio noma wengine wembamba na mimi nikajatibu niwe mtu wa kubadilisha Badilisha.
Basi mda ulipofika wa kwenda shuleni ikabidi ratiba yangu ya kuwafuta hao madada poa nibadilishe ikawa siku ya kufunga shule nikifika nyumbani naenda kupata dozi siku ya kufungua shule lazima niende halafu ndio niende shule huku wakati wa likizo tabia ikiwa ile ile.
Kuna muda nilikosa hela ikabidi niwafate wale wanaouza kwenye zile pombe za kienyeji wale walikuwa wanauza bei chee kidogo elfu 1 hadi elfu 2 na ilikuwa n sehemu za hovyo sana.
Wakati huo wote nilikuwa nikitongoza msichana akiniambia nisubiri au akakubali halafu akaniomba hela ndio imeisha iyo simfati tena naenda zangu kule kule.
Basi nikachaguliwa kwenda kidato cha tano na 6 kwa kuwa mazingira nilikuwa mgeni ikabidi niwe mpole ila ikabidi niwe mjanja kidogo.
Nilipoenda huko mkoani kwa kuwa nilifika usiku ikabidi nitafute nyumba ya kulala wageni. Kumbe shetani alikuwa bado yupo upande wangu dada wa mapokezi akanipokea kwa kifupi nikamchangamkia sana tukawa marafiki sana.
Tukabadilishama hadi namba za simu nikiwa nimelala usiku nikamsikia analalamika anasema "NASEMA HIVI LEO BILA HELA HUNITOMBI NAKWAMBIA"
nilipolipoti shule wakati wenzangu wanatoroka kufuata chips mimi ilikuwa ni madada wanaojiuza na nilianza na yule dada wa mapokezi kabla sijafahamu maeneo mengine.
Kwa kifupi niopokuwa advance level mademu wa kihaya, kinyambo, kinyankole, kihangaza, kinyarwanda nimekula sana wengine kwa kondomu wengine nyama kwa nyama kwa ufupi nilijiweka hatarini sana.
Likizo nikawa naenda zangu mwanza na kwenyewe yale yale tabia yangu sikuacha na nilikuwa nafanya kwa kificho kikubwa sana bila ya mtu yeyote kufahamu maana kuna marafiki zangu kwao ni mwanza nikawa naaga naenda kujisomea huko lakini wapi mm na rafiki yangu letu lilikuwa moja.
Nilipofanikiwa kwenda chuo ndio balaa likazi kwanza tu nilikuwa naishi Kijitonyama sehemu ninayoishi njia fupi ili kwenda chuo lazima upite pale ambiance.
Pale sikuwa nachukua hapa njiani kulikuwa na baa moja ndani ndani kidogo na kwenyewe nikapata mara ya kwanza demu Mdogo dogo elfu 5 ilinitoka nikapiga zangu shoo safi tu basi ikawa ndiyo tabia yangu nikichelewa nasingizia discusion au vipindi vimechelewa kuisha.
Nilipofika chuo mwaka wa pili nikaamua nianze biashara ya kuuza nguo naenda kupoint karume na kariakoo nauza mwenyewe. Hapo ndio balaa likaanza kwanza nikaenda kupanga chumba changu halafu kule karume nikakutana na mdada ambaye kila siku nikienda nakutana naye kama mara 5-6 hivi.
Nikajiongeza nikachukua namba nikaomba tukutane akakubali nikamtongoza kwa kuwa aliona na mm mtafutaji akakubali. Lakini tabia ya kwenda Ambiance sikuacha. Yule binti nikampa funguo moja kwa ajili ya usafi na mambo mengine.
Yani anaaga kwao anaenda kariakoo kumbe anakuja nilikopanga kifupi tulipendana na yeye ndio chanzo cha kuacha kupenda madada poa kwani nilimpa ujauzito. Alipotaka kuutoa nikakataa nikamwambia asiutoe. Kwao wakashitukia wakaenda kumpima hakuwa na jinsi ikabidi anitaje tu Dah.
Nikamchukua mjomba angu tukaenda tu kaweka mambo sawa. Na baada ya hapo ikabidi hata mimi ninadilike baadhi ya tabia niache na nilitumia muda mwingi sana kuwa nae hadi sasa. Maana kama mbususu za kila aina nishakutana nazo.
Na niliamua kuacha baada ya yeye kwenda kliniki kupima na kukutwa yupo salama na mimi nilienda pia kwa wakati wangu mara 2 hadi sasa na nipo safi Mungu ameninusuru
MAMBO AMBAYO NILIKUTANA NAYO
* Baada ya kuona natumia dk 4 - 5 kuna jamaa alinishauri nipige nyeto kwanza halafu ndio niende kiukweli nilifanikiwa lakini niliambulia kufinywa tu.
*Nishawahi kukutana na jirani yangu kabisa mtu na familia yake lakini yupo pale kamuinamisha mdada anakula vyake tulionana lakini tulifichiana siri tu.
*Kuna wadada wengine wanakupeleka kule 071 makusudi halafu wanachomoa wakiona muitikio wako upoje wanakwambia uongeze hela halafu wanakupa. Huu mtego niliushinda kwa sababu sikuwa naenda na hela nyingi ni likuwa naenda na elfu 3 - 5 akiniambia niongeze namwambia sina ila joto la huko weee
*Kondomu kupasuka ni kawaida kikubwa kuomba Mungu tu.
*Nishawahi kusikia wadada wanaojiuza pale ambiance wanasimuliana kuhusu wenzao wenzao wenye gono na UKIMWI kiukweli nilikuwa napita ila nikiwasikia na yenyewe ilichangua kuacha hayo mambo (na wenyewe wanajua UKIMWI upo na unaua)
*Kuna demu aliwahi kunichenjia kisa simalizi haraka akajua nimemwaga na kuunganisha kucheki hakuna kitu kumbe nilitoka kula mwenzao pale pale halafu nikaenda kwake kama mteja mpya maana yule yule angenikatalia au bei ingekuwa kubwa.
*Niliwahi kupata msichana lakini tuliachana kisa nilikataa kwenda kupima kutokana na matendo yangu mabaya.
=>Jamani hiyo tabia sio mzuri na inafilisi hasa ukiwa mraibu kikubwa tafuta mmoja utulie nae
=>Yule jirani yangu niliyemkuta maeneo kwake kila siku ugomvi na mkewe hamtimizii kumbe alikuwa anamaliza kule kama umeamua kuoa oa na utulie na mkeo magonjwa mengi
=>Katika hao mademu wooote fleva ile ile tu hakuna kilichobadilika tulia na uliye naye.
=>Kondomu zinasaidia
Mungu humponya kila mtu kwa wakati wake na njia yake Usikate tamaa huenda wakati wako bado
Tubadilike jamani mbususu zinafilisi maana nilikulaga hadi ada kiutani tu.
THANKS GOD