Shanily
JF-Expert Member
- Nov 4, 2024
- 768
- 1,545
Uhai na utu wa mtu kwasasa vinachukuliwa kama mchezo mchezo tu.
Yaani mume anafikia hatua ya kutaka kuua kisa mke kagawa jeans ya mtumba ambayo mume haivai , yaani Bora nguo iozee ndani kuliko kuigawa kwa wahitaji kwelii!?
Halafu hizi tabia za wanaume kupiga wake zao wakikosea, nyie nani anawapiga mkikosea!? Unampiga mtu mangumi, mateke.
Kwanini msimalize migogoro kwa majadiliano badala ya kupigana!?
Nini maana ya kuwa kiongozi wa nyumba? Mke ni dhamana na Amana uliyokabithiwa na Mungu na familia yake, ukiona umeshindwa mrudishe kwao kwa Amani, msituulie dada zetu kwa visirani vyenu.