Kwa maana hiyo kama alishiriki ngono atakuwa amezini.Eda maana yake mume anapokuacha unakaa miezi mitatu halafu ndo baada ya hapo uolewe tena na mume mwingine
Hakika. Hilo ndilo lifamikaloKwa sheria ya Allah katika Qur'an tukufu, ukimuacha mke kwa taraka tatu, huwezi kumuoa hadi aolewe tena na mume mwingine, halafu huko alikoolewa akiaachika ndo wewe unaweza kumuoa, tofauti na hapo mkikutana kimwili mnakuwa mnazini
Naam huyo amezini!Kwa maana hiyo kama alishiriki ngono atakuwa amezini.
SOMO TAFADHARI:Kwa sheria ya Allah katika Qur'an tukufu, ukimuacha mke kwa taraka tatu, huwezi kumuoa hadi aolewe tena na mume mwingine, halafu huko alikoolewa akiaachika ndo wewe unaweza kumuoa, tofauti na hapo mkikutana kimwili mnakuwa mnazini,,,,wenye kujua zaidi wataongezea