Multilateral Investment Guarantee Agency (MIGA)

Marekebisho ya sheria hayakumaanisha kujitoa MIGA.MIGA inatoa uwezeshaji wa kiuchumi kwa nchi mwanachama ambazo kwa sasa ziko 181.Tulichofanya ni kwamba mwekezaji anapokuja kuwekeza lazima akubali migogoro ikitokea itatatuliwa na vyombo vyetu vya ndani.Hili jambo ni sehemu ndogo sana ya shughuli za MIGA.
 
Kinachozungumzwa hapa ni hasara za kujiondoa ICSID ambayo inafanana na MIGA ambayo mlipendekeza tujitoe.

Kubadili msimamo kwa Upinzani ni jambo la kawaida.
Tatizo ninyi ni wagumu wa kuelewa na mnaelewa taratibu mno, mkishaelewa mnakuja na Maneno mengi as if ni swala jipya kabisa. Muliambiwa tujitoe huko kabla ya kuanza kushughulika na makinikia otherwise tutanyolewa,sasa mmeshalikoga mnaanza kubadirisha gia. Kwa mwendo huu salama ya ccm ni kuendelea kuua elimu yetu otherwise lazima tugawane fito very soon
 
Mkuu hapa issue ilikuwa namna bora ya kushughulikia makinikia na mikataba mibovu.
 
Mkuu hapa issue ilikuwa namna bora ya kushughulikia makinikia na mikataba mibovu.
Hapa nazungumzia ICSID na marekebisho ya PPP act.

Kama Unaifahamu ICSID , MIGA utaelewa ninachokiongelea hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…