TANZIA Muigizaji wa Kihindi aliyeigiza filamu ya Slumdog Millionaire, Irrfan Khan afariki dunia

Influenza

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,500
3,699
Muigizaji huyo maarufu kutoka tasnia ya filamu za Kihindi (Bollywood) aliyetamba katika filamu za 'Slumdog Millionaire' na 'Jurassic World' amefariki mapema leo akiwa na miaka 53

Alikuwa muigizaji anayependwa na kuheshimika sana, wengi wakisema ni mwigizaji wenye kipaji kikubwa. Mwongoza filamu Wes Anderson aliwahi kumtengenezea nafasi kwenye filamu ili tu afanye naye kazi

EWx4lncXkAMVaAZ.jpg

Mwaka 2018, alitangaza kuwa na saratani katika mfumo wa tezi zinazotengeneza homoni (Endocrine Tumour). Tangu jana amekuwa kwenye Chumba cha Uangalizi Maalumu (ICU) hospitali kutokana na bakteria kwenye utumbo 'Colon Infection'

Mwaka 2013, alishinda tuzo ya Kitaifa ya Filamu za India kutokana na filamu ya Paan Singh Tomar. Filamu nyingine zlizotamba nazo ni Lunchbox na Hindi Medium. Ya mwisho, Angrezi Medium imetoka mwezi uliopita

Filamu nyingie alizocheza ni pamoja na The Namesake in 2006; New York, I Love You in 2010; A Mighty Heart; The Darjeeling Limited

Khan amezikwa katika makaburi ya Versova Kabristan huko Mumbai muda mfupi baada ya taarifa zake za kifo kutolewa. Familia, ndugu na marafiki wa karibu ndio wamehudhuria

Je, utamkumbuka Irrfan Khan kwa lipi na katika filamu gani?
====
Irrfan Khan, a veteran character actor in Bollywood movies and one of India's best-known exports to Hollywood, has died. He was 54.

Khan played the police inspector in “Slumdog Millionaire” and the park executive Masrani in “Jurassic World.” He also appeared in “The Amazing Spider-Man” and the adventure fantasy “Life of Pi.”

Khan died Wednesday after being admitted to Mumbai’s Kokilaben Dhirubhai Ambani hospital with a colon infection.

“Irrfan was a strong soul, someone who fought till the very end and always inspired everyone who came close to him,” a statement released by the actor’s team said.

Khan made his screen debut in the Academy Award-nominated 1988 drama “Salaam Bombay!,” a tale of Mumbai’s street children. He later worked with directors Mira Nair, Wes Anderson and Ang Lee.

Khan in 2018 was diagnosed with a rare neuroendocrine cancer and underwent months of treatment in the United Kingdom.

“I trust, I have surrendered,” he wrote in a heartfelt note after he broke the news of his battle with cancer.

Khan won a number of film awards in India, including a 2012 Indian National Film Award for best actor for his performance in “Paan Singh Tomar,” a compelling tale of a seven-time national champion athlete who quit India’s armed forces to rule the Chambal ravines in central India.

Khan received an Independent Spirit Award for supporting actor in 2006 for the Indian-American drama “The Namesake” and a viewers’ choice award at the Cannes festival 2013 for his role in the Indian romantic drama “The Lunchbox.”

Khan also starred in the Hamlet-inspired “Haider,” a Bollywood film set in militarized Himalayan Kashmir.

Tributes came from Bollywood, including from fellow actor Amitabh Bachchan, who said Khan was an “incredible talent” and “a prolific contributor to the World of Cinema.”

Khan “left us too soon,” Bachchan wrote on Twitter.

Prime Minister Narendra Modi tweeted that “Khan’s demise is a loss to the world of cinema and theatre.”

In an interview with The Associated Press in 2018, Khan said: “I’ve seen life from a completely different angle. You sit down and you see the other side and that’s fascinating. I’m engaged on a journey.”

Khan's last Bollywood movie, “Angrezi Medium,” a sequel to one of his biggest hits, “Hindi Medium” (2017), was released before India went into a lockdown in March because of the coronavirus pandemic.
 
Miongoni mwa wahindi wasio na makuu namkubali sana Irfan Khan kwenye Tevaar ndo alinikosha haswaa na Hindi medium daahh!!acha kabisa mmeshtuka sana Leo na msiba wake yaani is Isingekua lock down Leo Bollywood ilikua inatikisika kama alivokufa Sri Dev...May his Soul Rest In Peace

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilijua tu ntakukuta huku muhindi mwenzangu. I was shocked kwa kweli
Miongoni mwa wahindi wasio na makuu namkubali sana Irfan Khan kwenye Tevaar ndo alinikosha haswaa na Hindi medium daahh!!acha kabisa mmeshtuka sana Leo na msiba wake yaani is Isingekua lock down Leo Bollywood ilikua inatikisika kama alivokufa Sri Dev...May his Soul Rest In Peace

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom