beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,880
- 6,367
Best Female Movie Star Africa - Yvonne Cherry (Monalisa)
Muigizaji maarufu wa filamu nchini Tanzania, Yvonne Cherry maarufu kama Monalisa ameshinda tuzo ya African Prestigious Awards kipengele cha Msanii Bora wa Kike barani Afrika
Tuzo hizo zimefanyika usiku wa kuamkia leo katika mji wa Accra huko nchini Ghana