Albedo
JF-Expert Member
- Feb 24, 2008
- 5,558
- 1,456
Ndugu wana JF, niliagiza gari kutoka Japan kama kawaida wabongo wakakwapua control box (ECU) nikafanikiwa kupata nyingine lakini Last month gari yangu ilisumbua so nikaamua kuipeleka gereji baada ya kuichunguza wakagundua kwamba kuna matatizzo kwenye connection za ECU kwa maana fundi aliyefunga hakuwa competent, sasa issue ni kwamba jamaa wanadai toyota hawajawi kuuza gari maodel kama yangu ( Rav 4 2000 engine type 1AZ-FSE) so hawana electrical wiring diagram na kurequest from japan (namaanisha from toyota japan) ni gharama sana
sasa ni three weeks gari yangu iko juu ya mawe naomba kwa yeyote mwenye nayo anisaidie
Nashukuru sana
sasa ni three weeks gari yangu iko juu ya mawe naomba kwa yeyote mwenye nayo anisaidie
Nashukuru sana