Muhimbili na KCMC wapi wako vizuri

manSniper

JF-Expert Member
Sep 9, 2015
814
679
Naomba kujua hospital ya Muhimbili na KCMC wapi wapo vizuri kimatibabu pia kwa madaktari bingwa, ukubwa, usafi, na huduma muhimu.

Kuuliza si ujinga, kama huwezi kunijuza usisome siyo lazima.
 
Naomba kujua hospital ya Muhimbili na KCMC wapi wapo vizuri kimatibabu pia kwa madaktari bingwa, ukubwa, usafi, na huduma muhimu.

Kuuliza si ujinga, kama huwezi kunijuza usisome siyo lazima.
Mkuu kwa hospitali za Tanzania na sio KCMC pekee, Muhimbili inaongoza, na sababu kubwa ni kwamba ni hospitali ambayo vifaa tiba vingi na vya kisasa vipo pale, Dr ni wengi na serikali kila kukicha inajaribu kuboresha miundombinu tiba.
 
Ndio ivyo mkuu, bahati nzuri kote nimefika, ndugu zangu wamepatiwa matibabu hapo... Nakuambia hata Ndanda hosp soon itakuja kuwa zaidi ya KCMC
ngoja nione maana nipo hapa siku ya 2 nijionee
 
Ndio ivyo mkuu, bahati nzuri kote nimefika, ndugu zangu wamepatiwa matibabu hapo... Nakuambia hata Ndanda hosp soon itakuja kuwa zaidi ya KCMC
Mkuu acha kupotosha umma wewe. Eti soon Ndanda itakuja kuizidi KCMC. Ukweli ni kwamba,MUHIMBILI ndo hospital kuu hapa nchini ikifuatiwa na KCMC baadae Bugando.
Una hila zako mwenyew kuhusu Kcmc lakini ni moja Kati ya Hospital nzuri na makini nchini.
 
daa jamaa kanishangaza Ndanda!? hv hajui Kuna peramiyo, seliani, mbeya nk
 
Naomba kujua hospital ya Muhimbili na KCMC wapi wapo vizuri kimatibabu pia kwa madaktari bingwa, ukubwa, usafi, na huduma muhimu.

Kuuliza si ujinga, kama huwezi kunijuza usisome siyo lazima.
Hospitali ya RUFAA ya TAIFA ya Muhimbili.
Hospitali ya RUFAA ya KCMC.
Jiongeze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…