Muda upi mzuri zaidi kufanya mapenzi?

Kiluuj

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
692
277
MPO?
Je, ushawahi kujiuliza ni lini mnaweza kugegedana na mjienjoy wote?
Wajuzi wanasema kwamba 5:48am ndio muda bora wa kujirusha.
Hii ni sababu kiwango cha testosterone kawaida huwa kiko juu.
JARIBUNI.
 
MPO?
Je, ushawahi kujiuliza ni lini mnaweza kugegedana na mjienjoy wote?
Wajuzi wanasema kwamba 5:48am ndio muda bora wa kujirusha.
Hii ni sababu kiwango cha testosterone kawaida huwa kiko juu.
JARIBUNI.
Usiku wooote huu unawaza ngono???? We ni mwanaume wa dar???
 
Watu wana aamka saa 10 alfajiri kuwahi ofisini. Mimi na mke wangu tunagegedana saa 10 alfajiri kuamkia jmosi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…