muda ambao facebook wanashugulikia tatizo ambalo mteja ameripoti

hamis jr

New Member
Jan 6, 2016
2
1
mwenye kuelewa naomba anisaidie kuelewa muda ambao facebook hutumia kusolve tatizo ambalo nimeripoti. pia naomba kueleweshwa namna ya kureset account ya Facebook ambayo nimesahau email niliyosajiliwa na sikuweka namba ya simu nimejaribu kuwasiliana na Facebook help center wamehitaji some details na picha ya id nimewatumia je wanaweza kunisaidia kuirudisha hii account na inachukua muda gani kwa wao kushughulikia tatizo kama hilo
 
kurudisha inategemea kama details zako zimejisheleza kama hazijajitosheleza jua kabisa akaunt yako kurudi sahau kabisa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…