Much n big respect

Hapo mume yupo kwenye kiti cha uvivu anavuta ugoro, huyo mama akishatua maji akatfute kuni na mboga ili apike, alishe watoto na amtengee mume chakula na maji ya kuoga, ahakikishe watoto wamelala n everything is in order ndo apande ktandan, akitua tu baba anataka mzigo, sasa ole wake aseme amechoka......

Dah.....bt wanasema dats nature......any way...God bless us ili tuweze kuyabeba hayo majukumu coz bila msaada wako wengine ndoa zitatushinda kwa style hii
 
Pole sana mama! Hapo mpaka afike nyumbani misuli ya mikono na miguu itakuwa imekakamaa balaa

Tanzania ya Vi-wonder.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…