Kila kitu kilikua kinaenda vizuri kama alivo mpanga kwasababu mshahara wake ulikua unamtosheleza mpaka pale alipo kopa 31m kufanikisha sherehe ya harusi yake, ili apate social class status kama workmate wenzie
Kinacho umiza na kusikitisha zaidi ni kuendelea kulipa deni litakalo endelea kwa miezi mingine 34, wakati mwanamke alisha file devorce papers mahakamani baada ya kugundua kwamba mwanaume alikua na mtoto nje af wakiume.
Ushauri wangu kwa waajiliwa ni hu usikopea mshahara wako kufanukisha mambo kama ya fuatayo:
1. Harusi/ndoa/mahare
2.Ada za shule za watoto
3.kufungulia mwanamke wako biashara
4. Kununua samani za ndani
5. Kufanya msiba au Dua ya 40.
Kwa uzoefu wangu wengi walio kopea kwa vitu kama hivyo wengi wana jutia na kua depressed na maisha hence umasikini wa kudumu.