JMP ametuletea Mahakama ya Mafisadi. Na nchi yetu imejaliwa kuwa nao wengi sana,lakini unathani ni nani ungependa abikiri hii mahakama na kuwa mtu wa kwanza kupandishwa kwenye hii mahakama.
Hivi ccm wamesha sema kuna fisadi zaidi ya Lowasa? Mie nadhani hiyo mahakama wanamjengea Lowasa akae humo peke yake maana wanamuogopa sana hhuku uraiani, na kumuweka na wafungwa wengine wana hofu atapindua nchi akiwa gerezani.,