Mtuhumiwa Donald "Chip" Pugh anayesakwa na Polisi ametuma picha ya Selfie kwa Polisi akisema picha iliyotumiwa na maafisa hao ktk tangazo la kumtafuta haikuwa ya kupendeza. Aliwatumia polisi picha aliyojipiga mwenyewe na kuandika ujumbe unaosema: "Hii hapa picha yangu nzuri, hiyo mliyotumia ni mbaya sana”.
Mtuhumiwa Donald Pugh "chip" anayesakwa na Jeshi la Polisi atuma picha yake ya Selfie na kusema picha inayotumiwa na maofisa hao katika matangazo ya kumtafuta haikuwa ya kupendeza.
Alijipiga mwenyewe na kuwatumia Polisi huku "akiandika hii hapa picha yangu nzuri mnayoitumia ni mbaya.