Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,487
- 9,050
Huwa nashangaa sana unakuta watu mpaka wanapigana kisa simba na yanga aisee ukicheki maisha yamewachapa vibaya watanzania akili zero kabisa yaani timu zinacheza mpira kama wamasai wanavyorukaruka na hivyo viwanja wanavyochezea ni kama mashamba ya mpunga ni kichekesho sana kiufupi mtu anaehangaika mpira wa tanzania na kushangilia apimwe akili Sababu nilijaribu kufuatila soka la Tanzania nikagundua kuanzia hizi timu mpaka viwanja ni takataka