Anneth David
Member
- Jan 8, 2017
- 21
- 8
mpigishe zoezi bado hajachelewa tena kama ni mtoto wakiume ndio zaoMtoto wangu wa miezi sita hawezi kukaa, napata wasiwasi sana, aliye na experience na hili anisaidie
Ulimpeleka hospital?Mdogo wangu ana miaka miwili anaenda mitatu lakini bado hajaanza kukaa
Najitahid sana kumpigisha lakini badompigishe zoezi bado hajachelewa tena kama ni mtoto wakiume ndio zao
Ntalifanyia kazi AsanteMwone daktari wa watoto ili akutoe wasiwasi.
Kila mtoto ana ukuaji wake.
Anarusha miguu sana tu, tatizo ni hilo hajaweza kukaa pia kujigeuza mwili mzima akiwa amelala badoKawaida wiki sita baada ya mama kujifungua anatakiwa afanya appointment na paediatrician anaefanya assessment ya wiki sita. Katika appointment hii, motor skills za mtoto zinaanza kuonekana kwani atakauwa anarusha miguu na mikono, kama kunatatizo linaanza kushughulikiwa kuanzia hapa.
Ndio tumeenda sana lakini bado hali ipo vile vileUlimpeleka hospital?
Inawezekana ikawa matatizo ya neurological na coordination ya spinal cord. Matatizo ya watoto ni rahisi kurekebishika ukiyawahi.Anarusha miguu sana tu, tatizo ni hilo hajaweza kukaa pia kujigeuza mwili mzima akiwa amelala bado
Hospital waliwaambiaje ?Ndio tumeenda sana lakini bado hali ipo vile vile
Tunataka tujaribu kumpeleka india au marekani tuone hali yake itakuwaje
Mdogo wako au mtot wako mkuu?Mdogo wangu ana miaka miwili anaenda mitatu lakini bado hajaanza kukaa
hujui kusoma?Mdogo wako au mtot wako mkuu?
Watu km wewe ni kawaida sana kuwepo heri yako wewe usiyepata matatizoMaskini weee, mapema yote mmesha kabemenda katoto..
Maskini weee, mapema yote mmesha kabemenda katoto..
Nendeni hospital siyo Hali ya kawaidaMdogo wangu ana miaka miwili anaenda mitatu lakini bado hajaanza kukaa