🤣Wa kwetu huku wanafundishwa kudanga na mama zao
Duuh ile pasi alivyoiua sasa ya bao la tatu🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌Waswahili wanasema "Mtoto wa Nyoka ni Nyoka" angalia hapa Mtoto wa mwanasoka Messi anavyolisakata kabumbu.
View attachment 2866092
Mateo Messi amedhihirisha kuwa Baba yake amemkuza kuja kuwa Mchezaji bora mbeleni.
View attachment 2866106
ngoja akue tuone, Maana walikuweko wengi wa hivi lakin ukubwani wako normal tu,Waswahili wanasema "Mtoto wa Nyoka ni Nyoka" angalia hapa Mtoto wa mwanasoka Messi anavyolisakata kabumbu.
View attachment 2866092
Mateo Messi amedhihirisha kuwa Baba yake amemkuza kuja kuwa Mchezaji bora mbeleni.
View attachment 2866106
ngoja akue tuone, Maana walikuweko wengi wa hivi lakin ukubwani wako normal tu,
mfano foden kipindi mdogo sana alikuwa hafai
kwel hii ni shida sasaFoden ngono inamzeesha
Niliona mahojiano yake anasema yeye aliwahi kuoa kwasababu haiwezi kupita siku bila kufanya ngono