Mtoto wa kiume usiendekeze Friendzone na watoto wa kike

Zemanda

JF-Expert Member
Jan 10, 2021
7,839
17,021
Huu ni ujumbe kwako “Boy child”. Ikiwa imetokea umekutana na binti mzuri akakuvutia na ukaweka jitihada zako kama kumtoa out,kumpatia zawadi na kumpatia offer mbili tatu kama kumlipia bills zake za umeme, chakula,vocha na kadhalika ambazo zimeashiria upo tayari kujitoa kwaajiri yake na unataka mahusiano serious ila yeye akaanza kuleta matuta kwa wingi akitaka uendelee kuwapo katika maisha yake kwa utaratibu wa wewe kulipia bills zake,kumsaidia shida zake,na kumtatulia changamoto zake ili hali yeye anachokupa kama mrejesho,ni text za “Thank you”," i miss you “,"nikwambie kitu”, na wizi mwingine wa kidangaji, mzee hapo upo friend zone area na unatakiwa kutoka haraka kwasababu hakuna urafiki wa mwanamke na mwanaume.

Kuendelea kuwapo katika mahusiano na mwanamke ambaye status yake kwako haieleweki kuwa ni mali yako ama unashika pembe ni ujinga kama kulea mtoto wa mwanaume au wanaume wenzako kwa kushukurani ya kuitwa baba bora au mwanaume wa mfano wa kuigwa.

Ni upuuzi ule ule wa kutumika na wanawake wanaochagua kuchezea fursa za kujenga maisha na wanaume serious then wewe unakuwa ndie bwege wa kuja kuzoa makombo na kuyala. Acha huu upumbavu mara moja. Wanawake serious wamejaa huko mitaani, nenda katafute binti serious umpe hiyo care,achana na takataka inayokutumia kwa masilahi yake.

Ni rahisi sana kujua kuwa umeshaingizwa kwenye ukanda wa urafiki (Friendzone) na mwanamke au binti “mwizi mwizi” wa mapenzi. Utajua sababu hatokuweka wewe priority bali utakuwa last option kwake pale yale aliyotaka yakishindikana. Acha kuwa stepping stone kizembe.

Unaweza jua kuwa umekuwa Friendzoned ndani ya siku 30 tu za kujuana na binti. Usipoteze muda. Ukiona anataka vitu vyako ila hakubali request zako wala ku submit kile unachomwambia then automatically jua unadeal na mwizi hapo anakuibia muda wako na akili yako anaichezea.

Mpe mtihani simple tu. Mwambie mkutane au mtumie ujumbe akupe jibu la direct kuwa ninyi ni marafiki au wapenzi. Kama akisema ni wapenzi then ongea nae kwann unaona ninyi si wapenzi na umpe masharti yatayoendana na namna wewe kama mwanaume utaweza endesha uhusiano.

Akisema ninyi ni marafiki then mwambie wewe ni mwanaume haunaga urafiki na mabinti ni aidha mahusiano au kuwe na sababu ya kuwasiliana kama kazi au biashara nje ya hapo huwezi kuwa na mazoea. Atakuheshimu kwa huu msimamo.

Kama atasema anahitaji muda wa kuweza kukubalia ombi lako la kuwa nae kimahusiano ila kwasasa muwe kama kaka na dada au marafiki then mkubalie bila kukasirika halafu mwambie wakati mkisubiria huo muda utimie basi awe responsible kwa gharama za urafiki au udugu wenu 50/50. Yaani kama atataka mtoke out basi na yeye alipie nusu ya bills,kama ni vocha yeye akununulie wewe kama unavyomnunulia yeye, ,kama zawadi na yeye akununulie wewe sio wewe tu umnunulie yeye,kama ni simu yeye akupigie pia sio asubirie kupigiwa na wewe au akubeep/akutext umpigie. Marafiki huwa wanaegemeana kwenye gharama si ndio?🤔

Whatever the case may be, Boychild, Friendzone is for fools not gentlemen. Usije ukajidanganya kuwa kumplease,kumlea,kumdekeza,mkumpa anachotaka mwanamke ambaye hana dhamira ya kuwa na wewe na amekuonyesha wazi kuwa wewe ni last option itakufanya uje kuwa namba moja maishani kwake,hiyo sahau. Utaendelea kuwa futio la miguu popote utakapokwenda nao.

Acha kuiongezea mileage “Simp culture” kwenye jamii yetu ya Tanzania na Africa, be masculine and bold,be a "good guy" not a "nice guy" . Kuwa "mwanaume" sio "mwanaume wanawake wanataka uwe".

Grow up.
 
Hapa nimetoka na kitu kikubwa sana, umezungumza point muhimu
 
Mi nahisi suluhisho la haya yote ni kuwa muwazi tu, siku za mwanzo kabisa usijikite kuspend we mchane tu mi nataka tuwe wapenzi basi, akieleweka ishi nae akizingua okoa mda wako.
 
THE LESS FUC**K YOU GIVE,THE MORE FUC**K YOU GET
 
kuwekwa friendzone ni uzembe wa msela mwenyewe,ukishaona mwanamke haeleweki PIGA CHINI haraka sana.vinginevyo huyo slay queen atakufanya boya lake.
 
Back
Top Bottom