mtotomtamuu
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 602
- 1,459
Babaa.unavyokazia utafikiri ulijuwepoNimeiona hiyo video Kajara anakataa bule yule ni mtoto wake kabisa yule ni Paula
Dada hebu angalia sikio lake la kulia na kidukuyule sio paula ile video ipo whatsup mwaka sasa
Kabisa....Umeona eeh hii siredi bila video ni useless kabisa
Kabisa, Kama mzazi hawezi kukubaliDaah ni shida ila hata ningekuwa mimi kamwe nisingekubali hata kama ni kweli yaani niseme hadharani kwamba ni kweli huyu ni mwanangu thubutu ili iweje kwa mfano
Sana.Ukiwa mzazi sio vitu vya kuvifurahia,unless uwe kwenye ule umri wa uendawazimu,haya tufanye ni paula yule ww wako unajua anafanywa nini?hv vitu sio vya kushabikia sana,inatubidi tukae tutafakari wapi tunakosea ktk malezi yetu na wtt wetu,fikilia paula ni mwanamke je kama wako wakiume anafanywa vile how do u feel,Tuinue mikono juu na kumuomba Mwenyezi Mungu akiepushie kizazi chetu inshallah
nami nitumie video niioneNimeiona kwakweli nimebaki mdomo wazi.
Ila nimeona sawa tu as long as mama ni joka lililoshindikanika mjini hapa.
Kwa malezi anayolelewa nayo Paula na mama yake haishangazi kuona videos za namna hii zikihusishanishwa na mwanae Kajala.
Mzazi ukizembea malezi kwa mtoto haya ndio matunda yake.
Ndio maana namkubali sana Mange alivyokuwa akimlelea mwanae Bhoke.