kitoto wa vitoto
JF-Expert Member
- Jul 28, 2019
- 373
- 409
Habari za muda Wana jf
Poleni na hongereni kwa pilika za kutafuta mkate
Nina kuja kwenu nikiwa na changamoto ya mtoto
Nina mtoto WA kike ana miezi 9
Tangu azaliwe analia muda wote hata akinyonya bado analia tu muda mwingine anakuwa halii Ila anatoa sauti ya malalamiko hanyamazi kabisa
PIa analala kwa kuchelewa sana analala saa Saba usiku hata kama mama yake amelala nae kuanzia saa 2 usiku ukiacha kulia haongezeki uzito Leo ametoka clinic amekutwa na kilo 5.6
Tuliwahi kumpeleka hospitali wakasema vipimo vinsonyesha ana tatizo moyo unaonekana una shida haujakaa mahali pake tukaandikiwa t transfer Hadi jk hospital ya moyo
Walivyompima wamesema Hana tatizo Hilo, je nifanye nini?????