Sasa wakimwacha watapata wapi story "EXCLUSIVES" za kuuzia magazeti. Acha watu wapige PESA - Kufa Kufaana !wamuache kwanza atulie akili haijatulia huyo jamani chaa
Ni kawaida kung'oka viti kama umewahi kushuhudia ajali za magari yaliyoviringika kwa ajaliNilimsikiliza Bonge wa Clouds ambaye aliliona basi lililopata ajali. Anasema kilichomshangaza siti za hilo basi ziling'oka zote na hazikuwa na umadhubuti.
Tukusikilize wewe au aliyekuwepo wakati wa tukio!Ile Gari haikuviringika ukiitazama baada ya ajali, kwa kutazama Uharibifu wa kwny gari inaonekana iliruka ukaenda kukita kwa mbele na hilo ndilo lilileta Madhara zaid
Mkuu ukute hata mtoto hajasimulia kitu, hizi habari za udaku tu.Ile Gari haikuviringika ukiitazama baada ya ajali, kwa kutazama Uharibifu wa kwny gari inaonekana iliruka ukaenda kukita kwa mbele na hilo ndilo lilileta Madhara zaid
Kwa Nyuma ya gari Hakuna Madhara yoyote na kwa mbele kumeharibika kabisa na pia kuna Udongo mwingi ambao ulitokana na gari kukita kwa mbele kitu kilichopelekea mpaka siti za gari kuchomoka na Wote kwenda kukita kwa mbele!
Kama Gari ile ingekuwa na Seat belt Basi huenda waliokuwa siti za Nyuma wangesalimika Kama pia Viti visingeng'oka lakin kwa ajali ile mkanda usingesaidia kitu
Tukusikilize wewe au aliyekuwepo wakati wa tukio!
Sijawahi kushuhudia ajali bali nimewahi kuwa manusura ya ajali ambayo watu nane walipoteza maisha. Hiyo gari ilibiringika mara nne na kwa bahati ilipozuiwa mti ndipo ilipokoma kubiringita. Na kilichoniokoa ni kuing'angania miguu ya siti za Coaster. Na waliokufa ni wale waliokuwa wanataka kuruka wakati ikibiringita na wengine kutokana na kukanyagana au kusukwasukwa wakati ikibiringita.Ni kawaida kung'oka viti kama umewahi kushuhudia ajali za magari yaliyoviringika kwa ajali
wansema ni mistubishi sijui lakini sijasikia toyotatoyota
ooooh,....asante bby darlingwansema ni mistubishi sijui lakini sijasikia toyota
natumai kauli yako ina dhamira ya kufurahisha genge tu (japo haifurahishi) na si kuwa una maanisha ulichosema.Sasa wakimwacha watapata wapi story "EXCLUSIVES" za kuuzia magazeti. Acha watu wapige PESA - Kufa Kufaana !