LGE2024 - Amos Makalla: Kuna mgogoro mkubwa unakuja ndani ya CHADEMA
Amos Makalla amewataka CHADEMA wamalize migogoro ndani ya chama chao na wasiwahadae Watanzania kwa kuwasingizia TAMISEMI, na kuwalaumu Chama cha Mapinduzi (CCM) bali wajilaumu wao wenyewe, wasifiche mgogoro na mpasuko mkubwa uliowafanya wakose maandalizi yakutosha. Aidha, ameongeza kuwa...
www.jamiiforums.com
Hapa Makalla anataja tarehe za mgogoro kutokea na sababu za mgogoro kutokea, halafu kapita mule mule!
Makalla alijuaje kama kimkamia