Pre GE2025 Mtia nia nafasi ya Urais CHADEMA: Cha kwanza nikishinda Urais nitabadilisha mfumo wa talaka. Nitahakikisha talaka haimuumizi mwanaume!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mindyou

JF-Expert Member
Sep 2, 2024
1,324
3,454
Wanaume mpo?

Kuna huyu mgombea wa nafasi ya Urais huko CHADEMA, Romanus Mapunda amesema kuwa kama akishinda kuwa Rais atabadilisha mfumo wa kupeana talaka.

Mapunda amesema kuwa atabadilisha mfumo wa talaka kwamba usimuumize mwanaume.

Amesema kuwa mfumo wa uliopo wa kugawana 50/50 na mwanamke baada ya kupeana talaka ni kandamizi na akiwa Rais ataubadilisha ndani ya siku zake za kwanza 100 kama Rais

=================

Wanaume mnaonaje uamuzi huu ni wa uboya kutumia siku zako za kwanza 100 kama Rais kwenye ishu ya talaka au ni unyama tu?

Soma: Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025


 
Back
Top Bottom