Weka video tuamini.Mti wa ajaba wa Mwembe, Dozer D8k limeshindwa kuung’oa hapo ulipo, chain sawa imeshindwa kuukata, shoka limeshindwa kuuwangusha. Inasemekama hata Nyanza Road Works imebidi wauwache kama ulivyo, maana ukiukata unatoa damu kama ya binadamu na sauti “ unanikata nimekukosea nini” hayo ni amaajabu ya Mwanza, Wilaya ya Ilemela, Barabara ya lami inayojengwa toka Mjini kati kwenda Airport. Maeneo ya Iloganzara.
View attachment 509597 View attachment 509596 View attachment 509595