Kizzy Wizzy
JF-Expert Member
- Aug 2, 2013
- 3,280
- 3,787
Huo ndio ukweli kabisa mkuu, ila sasa kutokana na katiba ya Zanzibar kuhitaji serikali ya umoja wa kitaifa na ili mtu awepo kwenye hiyo serikali ni lazima apate at least 10% ndio awe makamu wa 1 wa rais, sasa uchaguzi huu naona ni ccm tu ndio washindi kwa 98% watabadili katiba tena?Mtazamo mzuri sana ila mshindi kishapatikana. Anangojea tu kuapishwa. Nguvu zoote hizo uje kuleta za kuleta ati Jecha ajisahau amtangaze mshindi mwingine. HAIKUBALIKI. Msitupotezee msitu tujadili visivyo wezekana. Jina la mshindi analo Jecha tiyari, Hata kwa kura moja yake mwenyewe akisema alisahau kupiga kura, ushindi huo kwao ni wa kishindo.
Mkuu kwa zanzibar ccm kushindwa ktk uchaguzi huu ni ngumu sana kwa 100%Mkuu mangatara uchaguzi huu unamulikwa na vyombo vikubwa vya kimataifa, mh jecha ni part ya selikari.... nahisi diplomasia kutendeka hapa....
Najua ningumu kuiamini lakini nahisi huenda ndio kinachoenda kutokea....
Mkuu mangatara uchaguzi huu unamulikwa na vyombo vikubwa vya kimataifa, mh jecha ni part ya selikari.... nahisi diplomasia kutendeka hapa....
Najua ningumu kuiamini lakini nahisi huenda ndio kinachoenda kutokea....
Kabisa mkuu hawa mabwana wamelewa madaraka na kusahau mwenyezi munguViongozi wetu wanaishi kama wataishi milele ndio maana wanatenda watakavyo hila sote tunaishi kwa sekunde moja tu uwezi jua nani atakuwa nani kesho
Jecha na sheeni watalaaniwa mileleMkuu sio ngumu tu kuamini ila pia haiwezekani.......mshindi tayari anajulikana tangu siku walipofuta huo uchaguzi, jecha analo jina mfukoni...........
Huo ndio ukweli kabisa mkuu, ila sasa kutokana na katiba ya Zanzibar kuhitaji serikali ya umoja wa kitaifa na ili mtu awepo kwenye hiyo serikali ni lazima apate at least 10% ndio awe makamu wa 1 wa rais, sasa uchaguzi huu naona ni ccm tu ndio washindi kwa 98% watabadili katiba tena?
Asante sana mkuu, ila sasa naiona zanzibar ikiingia ktk mkwamo mkubwa wa kiuchumi maana hawatasaidiwa kwa lolote zaidi ya wanacho zalishaMmawia;
Kama hata uchaguzi haukufuata hiyo katiba, watabadili katiba ya nini?? Dr atateua makamu wa rais ampendaye tu, ila hatakuwa wa kwanza bali wa pili
Dr Shein ni mshindi hata Kama watu wasingekwenda kupiga kura .Mtazamo mzuri sana ila mshindi kishapatikana. Anangojea tu kuapishwa. Nguvu zoote hizo uje kuleta za kuleta ati Jecha ajisahau amtangaze mshindi mwingine. HAIKUBALIKI. Msitupotezee msitu tujadili visivyo wezekana. Jina la mshindi analo Jecha tiyari, Hata kwa kura moja yake mwenyewe akisema alisahau kupiga kura, ushindi huo kwao ni wa kishindo.
Magufuli atalazimika kutumia Mabilion kuwalinda na kuwalea ni pesa nyingi kuliko Safari za nje na matumizi mengine .Asante sana mkuu, ila sasa naiona zanzibar ikiingia ktk mkwamo mkubwa wa kiuchumi maana hawatasaidiwa kwa lolote zaidi ya wanacho zalisha
Wakuu habari za jioni,
Najaribu kufikiri juu ya kinachoendelea Zanzibar ghafla likanijia wazo flani hivi.....
Vipi matokeo yakitoka ikawa si Dokta Shein wala Mh Maalim Seif kuwa mmoja wa walioshinda kiti hicho cha urais.
Ghafla mkaskia Mgombea wa Chama kingine tofauti ndio kashinda kiti cha uraisi Zanzibar, najua inakuwa ngumu kuamini na kukubaliana nami lakini nahisi kama hiki ndio kinaenda kutokea.
Ni mtazamo tu.
Mkuu hapo ile % ya mgao wa Muungano haitazingatiwa tena na kwa kufanya hivyo kodi za watanganyika zitakuwa zinawalisha wazenjMagufuli atalazimika kutumia Mabilion kuwalinda na kuwalea ni pesa nyingi kuliko Safari za nje na matumizi mengine .