Mtazamo korofi: Mwanamume kufuatilia tamthilia naona kama haijakaa sawa hivi

KikulachoChako

JF-Expert Member
Jul 21, 2013
18,994
36,502
Habari za muda huu waungwana.

Hili jambo limekuwa likitatizo sana fikra zangu kila nikiona mtoto wa kiume ameketi na kufuatilia tamthilia moja kwa moja na kila episode huwa namuwazia vibaya sana.

Mimi naona kama vile hili jambo halipo ki-musculine hivi. Kwa mwanaume limekaa sana kidada na kimama mama hivi.

Hebu fikria Baba wa familia unagombea rimoti na watoto au mkeo kwa ajili ya tamthilia.

Mimi naona kama haijakaa sawa. Sijui nyinyi wenzangu maana kila mtu na mtazamo wake.
 
Habari za muda huu waungwana....

Hili jambo limekuwa likitatizo sana fikra zangu kila nikiona mtoto wa kiume ameketi na kufuatilia tamthilia moja kwa moja na kila episode huwa namuwazia vibaya sana.....

Mimi naona kama vile hili jambo halipo ki musculine hivi....kwa mwanaume......limekaa sana kidada na kimama mama hivi.....

Hebu fikria Baba wa familia unagombea rimoti na watoto au mkeo kwa ajili ya tamthilia...

Mimi naona kama haijakaa Sawa......sijui nyinyi wenzangu......maana kila mtu na mtazamo wake....
Mimi niliachaga kitambo sana
 
Ukweli mtupu, kuna vitu vipo kike kike Sana! Tamthilia za kiswahili,za kutafsiri za Azam, comedies za kina joti, na upuuzi mwingine,
Mwanaume fatilia siasa, uchumi, au, movie za kibabe, Den of thieves, Night has fallen!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom