Mtanzania hatarini kuuwawa huko Uingereza

Baba Dayana

Senior Member
Jul 1, 2016
141
322
Balozi wa Tanzania Nchini Uingereza, Mbelwa Kairuki amesema kuanzia jana kuna ujumbe mfupi wa video uliozunguka katika mitandao ya kijamii uliorekodiwa na Raia wa Uingereza mwenye asili ya Tanzania Martina Farrall, akielezea maisha yake kuwa hatarini huko anapoishi Ireland ya Kaskazini.

Kwenye taarifa aliyoitoa leo August 06,2024 Balozi Kairuki amesema kufuatia ujumbe huo, Ubalozi umewasilisha taarifa ya Martina kwa Mamlaka za Uingereza na kuomba hatua za kufuatilia suala hilo zichukuliwe mapema iwezekanavyo ili kuhakikisha usalama wake sambamba na kufanyia kazi shutuma alizotoa ili kubaini ukweli wa shutuma hizo na hatua kuchukuliwa.

“Aidha, leo tarehe 6 Agosti 2024 Afisa Ubalozi wa Tanzania anakwenda Ireland ya Kaskazini katika Mji anapoishi Bi. Farrall ili kukutana na Mamlaka zinazohusika kufuatilia suala hilo”
Anatishia kumuua kwa kumpa vitisho na unyanyasaji.
 
Nimeona Ile video. Nasikia imekwenda viral sana Uingereza.
Lakini what else can you expect,, with that stupid African boy killing, knifing,three young little white girls?
Chunguza hilo tukio kwa karibu wale walikua sio Africa ni raia wa uingereza tena christians waliokufa ni baby moja .....usikurupuka kutukana na kiibgereza chako plz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…