Hakuna huduma ya Bure.Elimu haipaswi kuwa biashara inapaswa kuwa huduma.
NAKAZIAMimi watoto Wangu hawawezi kusoma shule ya dumu fagio ikiwa nipo hai napumua.
Hao ni maafisa usafirishajiBodaboda wajao
Kwa kweli hata mimi🤣🤣🤣 cha ajabu zaidi walimu hao hao wa kata wnaapeleka watoto private yaani kama Nina uwezo siwezi peleka mwanangu kwenye huo upuuzi wa shule za serikaliMimi watoto Wangu hawawezi kusoma shule ya dumu fagio ikiwa nipo hai napumua.
Hayupo Huyo mtu mwenye pesa watoto wanasoma serikali hayupoUmeharisha, mtu mwenye pesa afu mtoto anasoma serikali namwonaga kama mwehu. Naijua Hali ya shule zetu za serikali ni umaskini tu.Lakini sio sehemu sahihi kwa Maisha ya mtoto.
Walimu hakuna discipline kabisa wanagonga watoto na hamna wakuathibu,Ali ya ufundishaji ni chini(grievances they have).
Ipo siku tutamkata tuUmeshavuka hatua ya unafiki..sasa wewe ni Mchawi kamili..
Ni mtu mwendawazimu tu ambaye yupo na uwezo asimpeleke mtoto wake private, walimu wa serikali wanacheza vikoba kupeleka watoto wao privateIt's very much perplexing to notice that for a number of years the guy has been regarded as one of the richest and influential comic actors in Nigeria with an estimated networth of $ 5 million (around TZS 13 billion). Inquisitively, the guy is now publicly complaining to have been robbed of only $ 58,000 meant to defray his medical bills by his own sons! Au alishafilisika kitambo?
Back to the topic, kama uwezo wangu utaendelea kuniruhusu kamwe sitamsomesha mwanangu shule ya Kayumba eti tu kwa sababu ya kuhofia hayo unayoyataja kila siku kwenye mada zako kuhusu public schools vs. Private schools. Shule za serikali bado zina changamoto nyingi mno.
Just do it at your own risk mkuuIt's very much perplexing to notice that for a number of years the guy has been regarded as one of the richest and influential comic actors in Nigeria with an estimated networth of $ 5 million (around TZS 13 billion). Inquisitively, the guy is now publicly complaining to have been robbed of only $ 58,000 meant to defray his medical bills by his own sons! Au alishafilisika kitambo?
Back to the topic, kama uwezo wangu utaendelea kuniruhusu kamwe sitamsomesha mwanangu shule ya Kayumba eti tu kwa sababu ya kuhofia hayo unayoyataja kila siku kwenye mada zako kuhusu public schools vs. Private schools. Shule za serikali bado zina changamoto nyingi mno.