Kaputula La Marx
JF-Expert Member
- Mar 28, 2015
- 562
- 494
Mkuu tusubiri kwanza huwenda wakawa upande wa magu au kama kuwapinga tuwapinge kwa hoja watakazotoawanafunzi hao ni wajinga, mwezi mzima hawajafundishwa wamekaaa tu, wameridhika, duuu ni haki kufukuzwa hawajitambui. ninyi na mtandao wenu mlango wa gereza upo wazi kwa ajiri yenu, Rais kashatoa tamko, wewe unaita press conference, wewe nani
Na kama ni uchawi jamaa kautafutia mbali sana kawachapa watu na ububu mpaka wame msahau jina.Ahahaha,LUGUMI anapumua kidogo right now!
Mkuu ata naibu mspika anapumuaAhahaha,LUGUMI anapumua kidogo right now!
Huyo kiongozi awe makini na kutokubali kupokea simu za kumuta kwenda kwenye miadiKESHO J.MOSI (TAR.04.06.2016) LAND MARK HOTEL, UBUNGO~ DAR ES SALAAM.
MTANDAO WA WANAFUNZI TANZANIA (TSNP) UTALIHUTUBIA TAIFA KUPITIA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI (PRESS CONFERENCE) KUHUSU SAKATA LA UKIUKWAJI WA UTU NA HAKI ZA WANAFUNZI ULIOTOKEA CHUO KIKUU CHA DODOMA.
Muda: Saa 4:30 Asubh-5:30 asubuhi
Baada ya idara ya Utafiti na Mafunzo (TSNP Research and Training depertment) kufanya utafiti wa kina juu ya sakata la kusimamishwa masomo Wanafunzi wa UDOM (SPECIAL PROGRAMME) tangu agizo la serikali la kuwasimamisha masomo lilipotolewa TAR. 28.05.2016.
Mtandao wa Wanafunzi Tanzania utalihutubia taifa hapo kesho katika Mkutano na waandishi wa habari kuhusu UKIUKWAJI WA HAKI NA UTU WA WANAFUNZI WA UDOM. Aidha Mtandao huu utaongelea Kansa kubwa iliyopo katika Sekta ya Elimu nchini.
Wawakilishi wa Wahanga (WanaUDOM waliofukuzwa) watakuepo kueleza ukweli wa mambo.
~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~
TSNP~ TUTASEMA UKWELI NA KUTETEA HAKI NA WAJIBU WA WANAFUNZI TANZANIIA
~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~
Na:
Katibu Mkuu@TSNP
tsnpstudents@Yahoo.com
Wakumbushe pia na kujitayarisha kukaa 14 gerezani,maana hayo yote yanawezekanaMuwe na ujasiri msimamie ukweli na haki.
Kukuchekea siyo kufurahi nawe!Wanafunzi gani? Wale walikuwa wanampigia makofi pale mlimani?
Sasa ndio wameamua kuwacha huo undumilakuwiliWanafunzi nao ndumila kuwili,njaa ikiwazidi kuandamana,wanasahau yote,bum likingia wanasahau shida.Raisi anaongea hata pasipostail makofi wao wanapiga.
Kupumua kwa lugumi sasa ni mauti ya ccm 2020Ahahaha,LUGUMI anapumua kidogo right now!