weka link tuone, usije ukamshikisha mtu kiblog halafu unakiita mtanadao wa jamii, unaona hilo jina jepesi ee? kwann utangazie biashara kwny mtandao mwingine badala ya huo wako...kizuri chajiuza babu weee lol!
Jina tunaweza kubasilisha kwa lolote ambalo mtu atahitaji tunabadilisha,pia tunadesign chochote unachopenda kama vile Mifumo ya shule ,vyuo,hospital saccos, booking system ,Hotel Management system,website,Blog nk