Mtandao wa Airtel ni wa ovyo sana

Nadhan kwa upande wa internet huu ndo mtandao wa ovyo zaidi hapa nchini, speed yake ni ndogo mno, ila wana vifurushi vya maana hasa.

Wanakupa bando la kutosha then network utajua mwenyewe kwa kuipata, ovyo kabisa.
kumbe umeliona na hilo, halafu wapo bize kutuambia 4G iko mtaani, sijui hata wanahangaika na nini, me niliacha kabisa kuutumuia,nadhani bado wapo 2G hawa jamaa.
 
Airtel kwenye 4G ipo vizuri tu shida ipo kwenye 3G. 3G ni uchafu mtupu. Airtel mm napata 20Mbps download speeds kwenye 4G
Screenshot_20210511-133651.jpg
 
Kusema kweli mimi natumia airtel na mtandao speed ni kubwa tu hasa kwa 4G so nadhani tatizo sio mseneo yote itakua huko ulipo mkuu.
Mimi huku tigo ndio kichefuchefu
 
Masaa ya kuendelea kuitumia Line yao yapo ukingoni, wakati wowote kuanzia sasa naikusanya kwenye taka
 
Kuuza Minara sio inshu mzee na wala Airtel sio wa kwanza kufanya ivo kwanza hata Millicom kupitia tigo aliuza Cell towers zake zote kwa Hellios Tower, Ki operation ni nzuri sana mana unakuwa na goal moja kuu facilitate huduma za wateja zaidi sio unakuwa multi task kama kusimamia maintenance za izo tower kitu ambacho ni mzigo mkubwa sana
 
Back
Top Bottom